Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 126
- 250
- Thread starter
- #21
It's true...!! Hapa kwenye uchumi ni facts kubwa sanaa...Nipo Ndoani mwaka wa 7. kuna vipindi kadhaa ndoa yangu iliyumba,natoa sababu Practicla toka kwangu
1. Uminifu Kwa mwanamke au Mwanume. kuna kipind wife alicontact na Xwake, kuna kupindi nilifanya hivyo ikayumbisha sana ndoa na matunzo ya watoto. Yes nimwai kumcheat wife na yeye alifanya hivyo nilifanya kosa na yeye alifanya tukakubalia tusirudie we are Good now japo simsemei
2.Kukosa Uvumilivu. kama wote kwa pamoja mkikosa hii kitu mnajikuta kila mtu anafanya lake ndoa inavunjika mapema tuu.
3.Kukokesana coalition of willing. wengi wanaingia kwenye ndo si kwa makubuliano yao, but wakuta mmoja yuko willing wa pili anafuata mkumbo. hii unakuta unamahusiano na mtu yeye au wewe unampenda sana kiasi cha kukufanya uingie kwenye ndoa lakini upande mwingine hauko tayali toka moyoni but unaingia, unakuta mwingnine kaumizwa huko basi akitokea yoyote anaingia ndoani
3. Hali ya uchumi. kuna kipindi niliyumba sana nikakuta wife anapoteza hamu na wewe, inumizaga sana kuna kipindi nakapiga kaisi kingi cha pesa najiku sina hamu ya kurudi nyumbani, Pia hali ya uchumi inawafanya watu wengi wawe bize kutafuta pesa na kufanya ndoa kuyumba na upelekea pande zote kutokuona umuhimu wa ndoa.
Hapa pia unakutana wakiana mama akimama walifakiwa na wanamiasha yao, wale wali kwenye ndoa anaona kumbe inawezekana ehhh kuishi bila mwanaume kufakiwa inapeleaka kuwa na jeuri au kiburi flani
4.Utawandawazi unachangia kwa kiasi flani, Haya mambo ya Vibamia, tigo na mapicha ya ngono yanahamisha watu kwenda kujaribu au ya kupeana hadithi humu sijui wanawake wa kabila falni watamu au wanaume wa kabila flani mashine, unakuta mwanandoa anataka kwenda kujaribu na aone ahaha h ahh hapo ndo unakutana na Tamaa ya kimwili.
Kingine watu wengi wanaingia kwenye ndoa na Mawazo ya Ngono ,