DAR WING -wa WHITE PARTY

lara 1 nyumban kwa mtu ni big nooo ndio maana tuko tayari kwenda sehem ambayo hatutalipia lkn at least tutakuwa tumeweka utaratibu wa kila mtu kula na kunywa na ku have fun so far 20000/= kwa wengi ni hela ambayo akitoka kwenda nayo bar anaimaliza kwa bia tu pasi na kula
 
Last edited by a moderator:

Tichaaa mi nimekubaliana na wewe sema hapo nilikuwa namchangamsha Madam B kidogo asubuhi hiii!!!!!!Ofcourse sisi watu wazima hatuwezi fanya party ya vijana!!!!!!! Hapo tu nilikuwa nakumbukia the DARK DAYS!!!!!!! We endelea na mipango niachie Madam B nimchangmshechangamshe!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo 20 ni single au double ?
maana kule Tanga kuna watu walikuja hadi na nyumba ndogo 3
 

Unaniangusha best, si umshtue yule rafiki yako baba nanihii! LOL:becky:
 
Unaniangusha best, si umshtue yule rafiki yako baba nanihii! LOL:becky:

Baba nanii alinipa MBESA ya mwaka mpyaaaa! (I swear!) Nimepukuta yoteeeeeee! Sasa lile zimwi nalolijua silikuli likaisha!!!! Ila sitokosa hiyo money!!!!!!! Ikibidi nitafanya magumashi kwa ofisi!!!!!!
 

Weeeeeeeeeeee............ unataka watu tuwaache akina Chimbuvu wetu, we lara 1 acha maneno hayo.
Hapo kwenye Bold ndio Patamu.
Fanyeni Mandingo kbs, Ila Mkikwama Kbs mimi Niko tayari mje kuifanyia hii Pary hapa kwa Bi Mkubwa Kinondoni.
Ila tusikilize maoni ya wadau kwanza.
 
Last edited by a moderator:

haya mm nakusubiria kwenye kupangilia hii shughuli so far kuna added task ambazo nitamwelekeza snowhite akuambie ili uziandae kabisaaaaaaaaaaa! hope mc wetu atakuwa wewe sio??
 
Last edited by a moderator:
Baba nanii alinipa MBESA ya mwaka mpyaaaa! (I swear!) Nimepukuta yoteeeeeee! Sasa lile zimwi nalolijua silikuli likaisha!!!! Ila sitokosa hiyo money!!!!!!! Ikibidi nitafanya magumashi kwa ofisi!!!!!!

lara 1 umenifurahisha walah nimecheka at least kibaridi kimepungua! ni PM nikukopeshe masharti na vigezo kuzingatiwa lakini
 

Hii ya Party ya Tichaa inakuwa CLASSY ngoja huko mbeleni tutaandaa ya ki BELASCONY!!!!!!!!! Ni Over 18 tu na under 40 ndo wanarhususiwa!!!!!!! Ila for now tumaintain the standards za tichaaa! Mambo classic tu baaaaaaaaass!
 
Nitakuwepo

nitafurah mwanagu sasa nina ombi kwako mwanangu hebu angalia hayo mawazo yangaua kisha wewe useme nini kiboreshwe ama kiondolewe??
 
Mmetaja bia eeh!??? sema michango inatolewaje!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…