dar white party kimenuka mbaya

dar white party kimenuka mbaya

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,178
Reaction score
64,555
kutokana na watu kuchelewa sasa hivi ndo tumeanza mambo yetu. wapo watu kibao na white code kama kawa. mia
 
maxence melo ndo amemaliza kuongea na ametangaza kuwa arusha chit chat wanajidanganya kusema arusha ndo makao makuu. kwa ufupi makao makuu ni dar the home of great thinker. sasa hivi ndo champagne. mia
 
duh....No comment kwa kweli...........
 
Back
Top Bottom