babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,905
mkuu jamaa wanahudhuria huko kila siku,kama wewe huwa unalala mi nakwambia wanaenda,jaribu kuzunguka huko utakuta mtu nyomi,mfano hiyo jumatatu jahazi nenda ddc magomeni.utakosa hata pa kupita jinsi kulivyojaa.Ni nani anaweza kuhudhuria kumbi hizo za starehe kila siku? Labda wale madada poa wanaotafuta wanaume. Lakini kwa mtu ''rational'' atakuwa anapenda kimojawapo kati ya hizo!
Ila umewasahau wanangu mwenyewe Kalunde Band pale New Africa
ndio hao unawakuta maofisini wanakujibu fyolo fyolo tu.Babukijana u have read my mind nami pia nilikuwa nafikiria hivyo hivyo, nimesoma kwenye blog mmoja Bills kariba ishikie moto alafu ukicheki huo umati wa watu najiuliza wanaamka saa ngapi maana for sure kulala kwao ni saa kumi asubuhi how do they cop? sidhani kama wanafanya kazi kweli kwa hali walioyotoka nayo kwenye club.
ok member namba moja huyu hapa.Wapi. Hawatukani kwa sababu ya hangover. Ni kwa sababu hawan kitu mfukoni , wana hasira hawajui watakula nini siku hiyo na watoto wao.
Mbona hujazunguzmzia wafanya biashara ambao hawasubiri mwisho wa mwezi kupata chochote?
Starehe yaweza kuwa ni kimbilio la kupunguza mafrustration ya kila siku ya Bongo na sioni kama ndio kisa cha kudorora huduma maofisini.
ndio maana yake,matumizi yanazidi kipato,kisha watu wanaloloma maisha magumu,mshahara wenyewe ndio huo wa kikwete.Wabongo twapenda sana starehe kuliko kazi
ndio maana yake,matumizi yanazidi kipato,kisha watu wanaloloma maisha magumu,mshahara wenyewe ndio huo wa kikwete.
ratiba ya wiki
jumatatu-jahazi modern taarabu-ddc magomeni.
jumanne- mwenyewe umeonyesha mapumziko hakuna sehemu ya kwenda
jumatano-twanga billz
alhamis--machozi band-savannah lounge
ijumaa--hii ni kila ukumbi starehe na watu wamejaa.
jumamosi-twanga-mango garden-ngwasuma-mzalendo+++++
jumapili-twanga leaders,ngwasuma msasani,akudo msasani,twaanga tena usiku tcc.
Na kuna watu ukipita kwenye hizo kumbi kila siku unawakuta.,hawa huwa tunawaita POPO
ratiba ya wiki
jumatatu-jahazi modern taarabu-ddc magomeni.
jumanne-
jumatano-twanga billz
alhamis--machozi band-savannah lounge
ijumaa--hii ni kila ukumbi starehe na watu wamejaa.
jumamosi-twanga-mango garden-ngwasuma-mzalendo+++++
jumapili-twanga leaders,ngwasuma msasani,akudo msasani,twaanga tena usiku tcc.
watu siku zote za wiki mko kwenye kumbi za starehe mnafanya kazi saa ngapi??na hata mkienda kazini najua mnaingia bado hang over kibao au hata mnaenda huku mmelewa chakari mnajikausha tu hayo maendeleo yatakuja saa ngapi?ndo maana maofisini karibu yote ukienda kufuatilia kitu wafanyakazi wanakujibu kwa nyodo kishenzi na hata kukutukana na ukiendeleza maswali wanaweza hata kuondoka wakakuacha reception au ofisini masaa.wakenya wakiwapokonya kazi mnalalamika shauri yenu.