M Michewen JF-Expert Member Jun 27, 2012 24,567 32,215 Mar 22, 2015 #21 VIP facilities inabidi u-book na kulipia (inategemea na airport) ila inapendeza zaidi kama utaenda kupanda FIRST CLASS au BUSINESS CLASS sio unajitutumua kupita VIP unaenda kukwea Fastjet ya 35,000/=
VIP facilities inabidi u-book na kulipia (inategemea na airport) ila inapendeza zaidi kama utaenda kupanda FIRST CLASS au BUSINESS CLASS sio unajitutumua kupita VIP unaenda kukwea Fastjet ya 35,000/=