Dar VIP airport natumiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar VIP airport natumiaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzurimie, Oct 17, 2012.

 1. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Helo wadau nahamu nikisafiri tena na mie nitumie VIP hapo Dar-es-slaam kuondokea na kurudi nipitie hapo, je nitawezaje?

  naomba mnijuze na mie nitumie kama kuna website au wa kuwasiliano nao naombeni contacts.

  Shukurani
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe ni VIP?
   
 3. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Sisi ndi watanzania,, tunapenda kujikweza mpaka raha,

  Back to topic, sasa mzuri mie we ni VIP ( upo upande upi na una msaaada gani hapa duniani hadi utumie VIP facilities)
   
 4. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  siku hizi wanatoza sh. elfu 40 wakati wa kutoka. sina uhakika wakati wa kuingia
   
 5. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa kunijubu, je inabidi niwasiliane nao kabla ya kufika airport au unaenda pale na kutozwa?
   
 6. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Kwani hujui hapa TZ ukijiweka kama hao VIP na wewe utafaidi au? sio mbaya mtu kujipa raha maishani kama unaweza.
   
 7. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa ningeuliza? kwa hapa nchini u VIP hata wasio wanapata raha nayo au?
   
 8. t

  tinomkumbo Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haaa haaa tayari unadili la bwimbwi nini??? We meza ukizani vip hawakagui uone moto. Huku vipi ni obama peke yake, utasumbuliwa kama kenge wengine tu.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280

  Basi kama wewe ni VIP ingia tu pale getini pasi na shaka bila kuuliza maswali......sawa na kuuliza kati ya hapa ni wapi niingie wakati jinsia yako unaijua?

  [​IMG]
   
 10. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo mimi kuna rank ya watu fulani wanaopaswa kupita VIP (Very Important Person). Sasa jiulize kama na wewe ni very important person. Kuanzia ngazi ya Wakuu wa Wilaya na kuendelea. Kwa hiyo siyo suala la 'kuamua tu kupitia VIP' ni suala la 'kustahili'. After all hakuna jipya huko. Sana sana utaambulia kusaini kitabu cha wageni. Kwa JNIA nadhani zitakuwepo class nyingi za VIP
   
 11. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  hii ndio jf bana
  kula raha kaka ni pes5 yako tu doller mia kwenda na kurudi
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Mtafute PRINCE, Utapata FREE PASS ya VIP
   
 13. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  LOL ma prince ni watoto wa nani hao?
  Unanifanya nitake kuuliza kwani humuu TZ haya ya ma king na queen bado yapo?
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  LOL... Kama Ulikuwa Haujui mpaka leo kuwa tuna VYEO HIVYO UMECHELEWA kweli; Ndio Maana haupiti VIP
   
 15. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  nitajaribu si kutaja jina la mtu then huyo naingia... cheers!
   
 16. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ni dola 40 wakati wa kutoka na pia wakati wa kuingia, utasaidiwa kucheck in mizigo yako wakati wa kwenda na kama unaingia utaletewa mzigo wako kutoka kwenye mkanda, nimepita pale kila mara nakuta wachina kibao na pia mawaziri kadhaa na nyumba ndogo zao wanapitia hapo. Mwisho uataingia kwenye ndege wa mwisho, la muhimu ni je unapitia VIP upo business au first class, kama unapitia VIP halafu upo economy ni wehu tu.
   
 17. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  fanya utoke na rizi one day utapitia hapo
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  RIZWANI KIKWETE ndie PRINCE wetu TANGANYIKA!!!
   
 19. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  VERY IGNORANT PERSON--------VIP. You wanna b one of them?! You must be odd
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  VIP haulizi JF.
   
Loading...