Makanda Member Oct 29, 2010 77 2 Nov 1, 2010 #1 wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,361 6,485 Nov 1, 2010 #2 Na lorri la JWTZ limetumika kubeba maboksi kupeleka pale Loyola, kwa nini magari ya TPDF jamani?