Dar-ubungo wabebwa kwenye magari ya takataka wasimamizi wa uchanguzi posho hazijatoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar-ubungo wabebwa kwenye magari ya takataka wasimamizi wa uchanguzi posho hazijatoka

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Makanda, Nov 1, 2010.

 1. Makanda

  Makanda Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Na lorri la JWTZ limetumika kubeba maboksi kupeleka pale Loyola, kwa nini magari ya TPDF jamani?
   
Loading...