Dar Tunasema: Ongea na Home Lowassa Awe Rais

Mtahangaika sana lakini mwaka huu ccn kwishney .
TOROKA UJE unasubiri huko ccm?

Hahaha Umebadili Tena Kutoka Tunaiga Hadi Tunaangaika!!Ni Hivi Mimi Kutoroka Siwezi Malezi Nnayoyapata Huku Ni Bora Zaid Kuliko Huko Kwenu
 
Yaan Nipoteze Muda Wangu Vocha Yangu Kumpigia Kampeni Huyu Edo Kwa Lipi Labda Angekuwa Dr Slaa Sio Huyu Kura Yangu Ni Kwa Magufuli Full Stop

mbona unahorojoka hivyo na bado kijana mdogo?...haya sasa Sisi tunaokota!!
 
Huo ni ujinga ndo unakusumbua, usidhani watu wa Dar hawana akili kama ww, tunachagua kwa kumsikia kiongozi anavyo jipambanua, huu co muda wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia bro. Usidhani Urais ni miezi mitatu na kumbuka urais haufanyiwi majaribio.
 
Hutaki unaacha....tunaotaka mabadiliko tutafanya yetu
 
wazee wa lumumba a.k.a buku7 hawakawii kucopy na kupest,,,tuwasubiri waje mana tayar washaanza kelele!
 
Mkuu hii imekaa vizuri, Mimi naanza sasa hivi japo siko Dar, Niko Zanzibar ila dugu wako Mtwara.
 
Wadau wote wa dsm kivipi? Hatusapoti majizi, na hii kampeni watu tulishaanza kitambo sana.
 
Huo ni ujinga ndo unakusumbua, usidhani watu wa Dar hawana akili kama ww, tunachagua kwa kumsikia kiongozi anavyo jipambanua, huu co muda wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia bro. Usidhani Urais ni miezi mitatu na kumbuka urais haufanyiwi majaribio.

Anayefanya majaribio ni nani kati ya lowassa na magufuli? Nani amejiandaa nani ameshtukizwa? Ndo maana kuna Anayeshangaa na kuna anayesema atasolve vipi, matatizo
 
Yaan Nipoteze Muda Wangu Vocha Yangu Kumpigia Kampeni Huyu Edo Kwa Lipi Labda Angekuwa Dr Slaa Sio Huyu Kura Yangu Ni Kwa Magufuli Full Stop
Kampigie nani kakuomba umpigie kampeni lowasa hili raru la wapi
 
Mimi nina uhakika wa familia nzima na kwenye nyumba yetu ya kupangisha yenye familia 6kuna mmoja tu ni ACT lakini anasema atampa lowassa, huyo ndo kidogo ananipa wasiwasi kwa hiyo kura yake.
 
Safi sana. Mimi nilishaanza kampeni hii kijijini kwangu. Cha msingi CDM Dar waunganishe ndugu na vyama vyote vya Ukawa tutoke na slogan hii Kabla mabingwa wa kudesa hawajainyakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…