Kuwa na mafuta ni kitu kizuri kwa taifa letu, lakini kama wachangiaji hapo juu, from our kapriensi, this is sure recipe for disaster. Hivi tusiende mbali hii dhahabu tuu ambayo inachimbwa leo, what would happen kama ingekuwa ni win-win deal kwa wananchi na wawekezaji?
I say, kwanza tunge-strengthen utawala wa sheria katika nchi yetu, viongozi wakawa accountable kwa maamuzi yao, mtu akicheza na mali ya umma anawajibishwa, leo tusingekuwa na akina Mwanyika na Hosea wanatuchezea akili watu wazima. Lakini as long as vyombo vya kuwawajibisha wakosaji viko chini ya wakosaji, tusitegemee miujiza.. Na hili ni jukumu la wananchi wote! Everybody should play his/her part. By the way, usishangae wazee wameshasaini mikataba ya kina Mangungo na Karl Peters, mda wa mda ukifika tutaambiwa mwekezaji huyo!!!
Nigeria ni mfano mbaya sana kwa nchi zetu za kiafrika. All over Africa, natural resources has caused more misery than opportunities for its people. Na mifano ni hapa hapa home, uchimbaji wa madini umebadilisha maisha ya watu in anyway? Aise kweli kwa hili la natural resources,kutusaidia waafrika kujikomboa, hapana nadhani tunahitaji vitu mbadala! we jiulize Sierra Leone leo nusu ya nchi ni vilema..wamekatwa mikono, masikio kwa ajili ya dhahabu ambayo wengine hawajawahi kuiona wala kuishika! Nigeria, the same stories, Congo....Mi nadhani hizi natural resources tuachane nazo tutafute vingine mbadala..Maana kutusaidia havitusaidii, tunazidi kuwa maskini na wananchi wenzetu wanakufa! is it worthy it?
Sijui kwa nini sisi waafrika ni wagumu wa kuelewa na wapesi kusahau!