Dar to Mbeya

we kwin hivi king kan kakuruhusu usafiri kweli? Mbona anahaha anasema kuna bwana kakutorosha na ameapa kufa na ntu?

aaagh!! Ushaharibu kila kitu, hivi ile dozi niliyokupa haikukuingia vizuri ee! Make umeamka siku ambayo sikukupangia!
 
Last edited by a moderator:
karibu sana Mbeya mwanamke...........karibu sana.ja[po vumbi ndo imeanza anza na baridi imepotea kidogo!unataka kampani au kukutana na wadau,just holla rafiki!
 
karibu sana mbeya mwanamke...........karibu sana.ja[po vumbi ndo imeanza anza na baridi imepotea kidogo!unataka kampani au kukutana na wadau,just holla rafiki!

asante sana
 
ikono kuboko oko itwenyel abhan voswe kumwakaler, fyeee! ! ! kuliingil tukuyu myano,wiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…