Kudasalama au kumbwani?? Karibu mbeya yetu!
kumbwani au kudasalama yote sahihi tu, inategemea umekuwa exposed na aina gani ya watu waliokufunza hiyo lugha...
In fact neno kumbwani limetokana na uwepo wa pwani ya bahari na wakati huo watu hawakujua kama kuna maeneo mengine kama tanga, pwani, mtwara na lindi nayo yana bahari...
asante, nimeshakaribia
Ni PM pls;nipo Sisimba na nahaidi ntakufuata popote ulipo ktk mji huu!
Wewe wapi?Kwa Mama John;Mafiati;Meta;Uyole;Uhindini;Block T;Jacaranda ........??
Nasubiri
umeshaiona nazi ya macho manne sasa?
hahaha! Yani wali lazima utoke kama pilau!
Nipo naye Rujewa huku kaja kutafuta mashamba ya mpunga...
Huko mjini atakuja kupanda basi tu siku ya kwenda kwao huko Dar...
Haya watu8;mambo matamu yameisha wasili Rujewa?enjoy mkuu!
Hahaha...
We mvizie siku akija kupanda Happy Nation au New Force ya kuja Dar...kasema atafikia Block T
Hapana nakuheshimu kaka!Na mm nitamleta wangu wa hapa JF lkn yule demu anakunywa sana pombe bana lol!Anyway nitamleta hivyo hivyo tena!
Hahaha....
Haya nkamu...une nga ni njobhelo
ngimba ulimwalangani, abhandu8 akusyobhile! Ndi kutukuju une
Dah! ndo meingia Mbeya, hvi kuna wing ya JF pande hizi?