RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Tani 3,000 za sukari zimekutwa kwenye Godown la Mohamed Enterprise, wahusika wadai sukari hiyo ni kwa ajili ya matumizi ya viwandani(sukari nyeupe).
Sukari hiyo ina thamani ya shilingi bilioni 5.
Makonda ameiagiza TFDA kuzichunguza tani nyingine 22,000 kama sukari hiyo ni kwa ajili ya matumizi ya viwandani.
Atoa saa 24 mwenye sukari hiyo kupeleka nyaraka zinazoonyesha sukari hiyo inatakiwa kupelekwa viwandani.