beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,367
Baada ya kuzinduliwa vituo vya polisi vinavyohamishika tayari wananchi wa Masaki jijini Dar es Salaam wameanza kuonyesha ushirikiano wa kutoa taarifa za uhalifu katika kituo hicho.
Kufuatia wananchi kutoa ripoti mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye ni mwananmke mwili wake umeokotwa katika vichaka vya ufukwe Coco Beach karibu na kituo hicho cha Polisi.