Wote huduma zao bado ni sub-standard.Wengi ni malori yaliyopakwa rangi tu,ukikaa siti za nyuma unafika hoi.Muda wa kuwasili uko too variable kutokana na kasi ya dereva.Hawa jamaa ikitokea kampuni za Kenya za mabasi zikaanza safari ya Mwanza-Dar wataumia sana.Wamejaza wahuni,kelele na usumbufu usio wa lazima.
Tofauti ya huduma katika mabasi haya ni ndogo sana.Wengine watakwambia basi fulani zuri kwa sababu tu linakimbia sana-hebu tuambie any extra comfort service wanazotoa?