Dar: Mtu akutwa amekufa ndani ya gari Kijitonyama

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Mtu mmoja amekutwa amekufa ndani ya gari Kijitonyama karibu na Ustawi wa Jamii.

Habari zinazagaa kwamba chanzo ni kutembea na mke wa mtu.
cf17c446c06ae1dffc4a2fdedea6aced.jpg

Gari alilokutwa nalo marehemu
 
Kama Hbr Haijakamilika, Tulieni Ili Kukamilisha Kwanza!! Sio Faster Faster Hizi Zenye Maswali Zaidi Ya Majibu!!!
 
Mimi ninatember na brookside dairy milk kwnye gari yangu ninapikuwa na meetings kila baada ya dk 25 naenda kupiga pakiti moja nikijifanya naongea na simu
Wewe jamaa unaishi kwa mashaka kweli?? Case ngapi za watu kuwekewa sumu ambazo umeshawahi kuzishuhudia?
 
Back
Top Bottom