Dar mnatuangusha sana wana UKAWA

Rich Pol
hicho chama tawala kinatawala nini?
~~~~~~

naomba unishawishi niwezi kuichagua ccm 2015 kwenye uchaguzi mkuu

Sasa ikiwa kiswahili kinakupa shida, kweli unaelewa mambo mengine ama mpaka uhadithiwe? "Neno niwezi" umeona wapi? Then hakuna kushawishiwa kuna kuelimishwa so kwa ujinga wako unaona siasa ni kushawishiwa ndio maana upinzani akili zenu ziko katika makalio!
 
Last edited by a moderator:
Dar inatakiwa kuvunjwa yoote maana ni maficho ya majahili ya uchumi wa watanzania!Dude hili linanyonya mikoa yetu kama jini chunusi na wanaofaidika ni makahaba waliojazana Dar wakihongwa na hao mafisadi.Acha niishie hapa kwani nina hasira sana na hawa raia

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Daudi .....iko shida ...kubwa kwa ndugu zetu kama wewe ...munadai mabadiliko huku ukiwa uko mhali na vita hii....unataka mabadiliko huku ukiwa una view kwa mbali. .....oooh my God. Mwenzako tulipogundua kuwa nchi haiwezi kubadilika bila nguvu yetu.....tukisaliti kazi zetu .....vipato vyetu na leo tumo katika harakati hizi ......siku moja nilimwambia Mzee Mwanakijiji kwamba arudi nyumhani tutumie uzoefu na taaluma zetu ili tulibadilishe Taifa hili. ....kimya kilichukua nafasi yakeDaudi mchambuzi wewe unajua ili umtawale mtu ....mfanye akose elimu, ......mgawe kwa kutumia, dini yake ......tumia vyombo vya umma (jeshi) ili kukandamiza na kutia hofu wananchi ...ni kufanya hivyo mtawala unaweza kubaki madalakani .......sasa hawa marafiki zetu ccm wame apply hizo factors kwa muda mrefu ....ila wamefika mahali point of return ...sasa hawajui wafanye nini tena. Daudi kuhusu Dar ...2015 kutakuwa na mabadiliko makubwa sana ....tunaangalia njia bora ya kugawana haya majimbo na kata .....uchaguzi serikali za mitaa umetupa road map....tumeweza kujua wapi Cuf wanakubalika na wapi chadema wanakubalika ......lakini ujio wa vijana wengi kujiandikisha imeleta matumaini makubwa Daudi mori wa kimasai umeongezeka ....wananchi kwa sasa wana hamasa kubwa .....kitendo cha upinzani kupata more than 35% inatufanya tuwe na nguvu mara dufu. Hawa Ccm ni wafalme ....tutaendelea kukata mizizi kule vijijini na mijini .....ni jambo la muda tu Mchambuzi
 
nafarijika sana kupata mawazo yako yenye matumaini makubwa.
naamini tutafikia lengo kuu kama ulivyosema.
 
nafarijika sana kupata mawazo yako yenye matumaini makubwa.naamini tutafikia lengo kuu kama ulivyosema.
Daudi Mchambuzi hiyo faraja unayoipata toka kwenye hii mistari yangu haitoshi ....jitahidi angalau na wewe uwe sehemu ya mabadiliko katika taifa hili Mchambuzi ...ukiweza kusaidia moja ya mitaa waliyo shinda ....mfano kule wilayani uliko zaliwa, kuna vijiji UKAWA wameshinda ....chagua kijiji kimoja kisha wachimbie kisima kimoja na siyo pesa nyingi ....ni kwa kufanya hivi imani itaongezeka kwa wapiga kura .....2015...Mchambuzi ukiishia hapa jukwaani kwa kudai mabadiliko Jf utakuwa haujaonesha nia yako thabiti kuleta changes
 
Asilimia 80 ya watanzania wanaonufaika na mfumo wa sasa (Under CCM rule) wapo Dar unategemea nini??
 
Hamna lolote!! km mngetoka wote kujiandikisha na kupiga kura, naamini haingekuwa 75 kwa 25!!! may be ukawa wangekuwa juu ya ccm!!
Next tme kuweni werevu banaa!!

Hee... unajuaje?
Labda kwa Dar ccm ndio ina wapiga kura wengi kuliko ukawa, utalazimisha??
 
naomba kudeclare interest kuwa mimi ni mmoja kati watu wa front sana tena wa kujitolea kwenye harakati za mabadiliko, ni mmoja kati ya wahusika waliosimika 'chadema ni misingi' practically ktk eneo langu na nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa na niko front kwa kiwango cha ku-risk maisha yangu kusimamia mabadiliko kwa vitendo so nifute kabisa kwenye kundi la wanaharakati wa nyuma ya keyboard.
Wazo la kongeza imani kwa umma kwa kuwafanyia maendeleo kama kuwaletea maji n.k ni wazo jema nalipokea kwa mikono miwili.
 
nafarijika sana kupata mawazo yako yenye matumaini makubwa.
naamini tutafikia lengo kuu kama ulivyosema.

Daudi Mchambuzi

Wenyewe wataalam wa sayansi ya siasa wanasema kuwa "You lose the Capital you lose the Government".

Hilo jambo ccm wanalitambua vizuri sana ndiyo sababu wanatumia nguvu nyingi sana kuliko mikoa mingine ili kuhakikisha kwamba wanaidhibiti Dsm hata kama ni kwa mabavu.

Lakini jambo zuri ni kwamba Dsm imeendelea kuwaponyoka ccm gradually na hatimaye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 itakuwa ni historia mpya kwa jiji la Dar es salaam.

Kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na Chadema katika kuwaamsha wana Dar es salaam ni kubwa sana na ujio wa UKAWA ni big boost kwa ukombozi wa jiji la Dar es salaam kutoka katika makucha ya mkoloni ccm.
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya hahika tunapaswa kulikomboa jiji,
tunao wabunge wawili tayari hapo jijini, tunapaswa kuongeza wabunge wengine sio chini ya wawili ili safari yetu inoge haswaa.
 
Last edited by a moderator:
Daudi Mchambuzi ....sasa tuna sehemu ya Dola ni jukumu letu kuanza kutatua sehemu ya kero za wananchi ....mfano tuna35% ya srrikali za mitaa sasa tuoneshe utofauti na watawala wetu ccm ....mfano hapo uliposimamia chadema ni msingi nina imani mmepata mitaa ya kutosha ....sasa anzeni kwa kuondoa michango ya walinzi. ...mshahara wa mlinzi mbona hata wewe unaweza kumlipa? .....ile huduma ya barua za wananchi ondoeni zile 2000/.... wapewe bure .....fikirieni kununua photocopy machine na computer kama shule za misingi umeme .....kwa ajili ya kutoa mitihani ya majaribio Daudi msisahau kuwa sasa mikutano ya kulia na ccm muda si mrefu itakoma kwenye level ya mitaa /vijiji ...nntusisahau kusoma mapato na matumuzi kila miezi 3
 
nashukuru kwa ushauri wako mkuu, hakika huko tuendako tunahitaji haya uliyoshauri ili tufikie lengo, shukrani.
 

Bila mbeleko ya marefferee hawawezi kucheza mechi, ndiyo sababu timu kubwa kama CCM inawalazimu kununua waamuzi na hata baadhi ya wachezaji kutoka timu ya Ukawa(Chadema, CUF&NCCR-Mageuzi) kwakuwa wanajua fairplay hawawezi watashindwa mechi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…