salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Ukikaa nyuma ya meza ya mfalme harufu ya jipilau hutaikosa na pia vijifupa vya miguu ya kuku anavyotupa chini mfalme wanaviokota; Dar ni sehemu ya ufisadi uliokomaa nchini na wapo tayari kuulinda kwa kutojaliNilishasema humu wakazi wengi wa Dar ni waswahili (hawajaelimika, wavivu, wacheza vigodoro) wakifuatiwa na wezi wa maofisini (wanaogopa ukiwa kinyume na CCM unapelekwa Namanyere), malaya/mashangingi, mateja/wapiga debe, wapambe na wafanyabiashara wakwepa kodi (pinga CCM ukione) so kumuondoa huyu mdudu CCM kazi ipo!
Wameshawashtukia ukawa wazushi tu bila tukio hawana la kuwahadaa wananchi. Wala ruzuku tu.
Akili yako ni sawa na ya tibaijuka
Mleta uzi hana uchambuzi wa maana.Nani ka gain katika uchaguzi huu?vilikuwepo vitongoji vichache sana Dar lakini sasa kata nzimanzima zina ongozwa na wapinzani.hata ukuwa uliza ccm makini wanajua na wanatafakari kasi ya kupoteza mitaa.Ina maana tukirudia kama kasi ndiyo hii na mapingamizi ya sipokuwepo ccm kita kuwa chama cha upinzani,jambo ambalo litafanya wajinyonge
kata yangu ya mabibo,jumla ya mitaa 4, ukawa 3, ccm 1.
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!Ngoja waje na hang over za viroba vya manzese wakujibu.
Ukawa si mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?
comment yako imenipa hope walau kidogo, ila pamoja na hayo makundi yaliyotawala hapo dar kama ulivyoyataja , bado ni % kubwa mno ya wakazi wa hapo ni masikini wa kiwango wa kushindia mlo miwili per day lakini hawajigusi, vichwa viko chini kama kondoo hawaonyeshi nia ya kuchukizwa na umasikini wala hawana hata muda wa kujua chanzo cha umasikini wao,Samaki mchanga wape bigup wana Dar es salaam ....wana ukawa wamepata 25% ccm 75% lakini unajua kuwa serikali nzima inaishi Dar? usalama wote wanaishi Dar ....wakuu wote wa majeshi wako Dar .......wajuaji wote ...wasoma magazeti wote ..much know wote wanashi Dar......Samaki mchanga vita ni kali kuliko mikoani ....sasa unadhani ccm hapa Dar ndipo ikulu ipo ....ghafla tu wakubali wapokwe Dar .....taratibu ndiyo mwendo tutaelewana tu ni jambo la Muda
Bora mimi ya Tiba kuliko yako ya Mbowe unajilipua mwenyewe ili upate cha kusema.
Dada......Subiri hautaamini 2015.../ ni jambo la nuda ...najua unaipenda ccm .....na kwa bahati mbaya leo nikiyaweka matokeo halisi jinsi UKAWA walivyo fanya vizuri utashika kichwa .........................wewe jiulize Dar UKAWA wamepata 25% how about mwz...mby...arsh...morog....and other party in our country? ........Faizafoxy.......kuna kitu natamani ukijue ...kwamba 2015 UKAWA watakuwa wamoja kuliko leo ... .plus ile migogoro ya ccm ....plus makundi ....dada hamtaamini kitachotokea ....ni jambo la 6 miezi ....ama UKAWA AU CCMUKAWA imeanguka Tanzania nzima si Dar pekee.Fananisha 80% na 20% halafu bado mna kauli?
UKAWA imeanguka Tanzania nzima si Dar pekee.
Fananisha 80% na 20% halafu bado mna kauli?