Mbinu zao unaweza kuta ni kumbebea na mzigo wakamwekea aonekane wake. Polisi wakiwa wanamtafuta mtuhumiwa wa madawa wanafanyaga lolote kumkamata na kidhibiti maana bila hivyo inakua ngumu. Pia maboss wa hiyo kazi hawakaagi na mzigo nyumbani.Kwanini walilazimisha kumkagua kwa kutumia 'mbinu' zao? Isije ikawa hizo mbinu zao zinajumuisha package ya kumuachia huru baadaye. Ukaguzi una namna yake ya kufanywa kisheria, haya mambo ya mbinu ndiyo huwa yanatengeneza nyufa za watuhumiwa au waharifu kuachiwa huru.
serikali noma mkuu"" ikikuchoka " inaweza hata kukuwekea ..ili wakuadhibu ""Muuzaji anakaa na unga nyumbani usawa huu?!...wacha akanyee debe
Kinachofanyika sahv ni 4-4-2 formationMbinu zao unaweza kuta ni kumbebea na mzigo wakamwekea aonekane wake. Polisi wakiwa wanamtafuta mtuhumiwa wa madawa wanafanyaga lolote kumkamata na kidhibiti maana bila hivyo inakua ngumu. Pia maboss wa hiyo kazi hawakaagi na mzigo nyumbani.
Muuzaji anakaa na unga nyumbani usawa huu?!...wacha akanyee debe
Ndo manake tena wanakufilisi tuserikali noma mkuu"" ikikuchoka " inaweza hata kukuwekea ..ili wakuadhibu ""
Haijalishi watakavyokamatwa ila ikiwezekana wakamatwe tu.Kinachofanyika sahv ni 4-4-2 formation
Hawa jamaa wanauza madawa sana wanaonywa waache....hawaskii bado wanatembeza sumu,Sawa Hata wakichomekewa whateva ilimradi wawahifadhi ndani watie akili....hawa walishafikia kuuza unga utadhania wanalipia kodi au wana kibali
Kwanza wafungwa wengi huko china wako jela walipelekwa na yeye
Ova
Si ndio mkuu! Kama hawakuwa na kibali na walimkagua kwa kutumia hizo mbinu zao bila ya kibali huyo ataachiwa maana haiwezi kuhold mahakamaniKwanini walilazimisha kumkagua kwa kutumia 'mbinu' zao? Isije ikawa hizo mbinu zao zinajumuisha package ya kumuachia huru baadaye. Ukaguzi una namna yake ya kufanywa kisheria, haya mambo ya mbinu ndiyo huwa yanatengeneza nyufa za watuhumiwa au waharifu kuachiwa huru.
Mkuu naomba utupe taarifa za huyu jamaa. Najua unamjua vizuri na shughuli zake.Safi sana....Kiboko muuza unga wa siku nyingi sana ameingiza makilo na makilo china...kuchukua muda mrefu kumkamata ilitokana na jamaa kuwahonga Hela maafisa kadhaaa......
Mtu kama huyu ni kumpeleka gereza Ngumu akapasue mawe tu atie akili.....
Ova
Bashite alijitengenezea vinyago vya watuhumiwa badala ya kukamata watuhumiwa halisi.Bashite hakuwaona hawa wana mihadarati sugu akaishia kuzalilisha watu tu
Kwahiyo kwako kuna added advantage zaidi ya hivyo ulivyoSafi sana.kazi mzuri
Unajuaje hadithi ya Kamanda Milanzi ni ya kweli?
Yani drug lord wa kimataifa uliyekuwa unamtafuta kwa miaka mingi unaenda kumshika kwa kidhibiti cha gramu 250 za unga za kum sachi? Hizo si ni kesi za kina Wema na Chidi?
Halafu, kama ilivyo ada, wameenda bila search warrant, jamaa akakataa wasije kumbambika. Polisi wakatumia "mbinu zao" kumsachi, mbinu gani za ku sachi ambazo polisi wa bongo wanazo FBI hawana? Maana hatujawahi kusikia kuna mbinu duniani kote ya kusachi nyumba ambayo mwenyewe hajakubali na yuko hapo hapo mlangoni. Uchawi?
Long and short of it ni kwamba hawana ushahidi wa kuridhisha na hawana credibility katika hako ka home searching kao kwamba hawajambambika vikete.
Naomba data japo kidogo ili kuthibitisha kauli yako, halafu tuendelee na mjadala.Hapana mkuu sio lazima wawe wakristo...basi nirekebishe comment kwa kusema " mbona wanaokamatwa mara nyingi wanakuwa na majina ya kiislam"