ndugaseli
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 869
- 2,405
nashukuru kwa majibu mazur mkuuKila kitu picha picha! Kaanze chekechea picha kibao
nashukuru kwa majibu mazur mkuuKila kitu picha picha! Kaanze chekechea picha kibao
Tupe road map ya kuwasaka.Wanatakiwa kusakwa na kupigwa kombora
atufanyie comparison/ trend analysis[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Comparison
Usiogope myKibok kabisa
Hawawezi kuishinda dola ni swala la muda tuuKwa sasa wale ni habari ingine mkuu!!!
Hiyo ni kazi ya secret agenciesTupe road map ya kuwasaka.
Yesatufanyie comparison analysis
Nasikia aliumia mguu alikuwa anakimbia kwa bahati mbaya mguu ukatumbukia ktk shimo na kuvunjika. Hakupigwa risasi.Kwa habari nilizopata hakuna aliefariki but watu wamepigwa risasi za miguu.
Farahi huoni bahati hiyo.NAZANI mkuu unaomba majambazi wasiondokaHatari aisee yaani me kigari changu nakipaki huko nje sijui kipoje huko. Wadada watatu wamekuja mbio getoni kwangu wakawa wanagoma kuondoka kabisa