Dar: Majambazi wavamia Ubungo Msewe

Dar: Majambazi wavamia Ubungo Msewe

Ubungo Msewe ilivamiwa muda si mrefu na majambazi milio ya risasi yasikika

Hili tukio linatokea muda huu
Hatari aisee yaani me kigari changu nakipaki huko nje sijui kipoje huko. Wadada watatu wamekuja mbio getoni kwangu wakawa wanagoma kuondoka kabisa
 
Kama hakuna aliyefariki ni jambo la kushukuru.
Maana ukanda Wa pwani muda huu una majanga sana .
 
Back
Top Bottom