GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
I’ve goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
Kizazi cha sasa si kile cha enzi zile eti mpigwe mkwara na mkaufyate.

Wameenda mbele, wanaonesha sura zao na ni fearless ingawa wanajua kuna wenzao wameshatekwa.

Whomever anachukulia hii poa, ana shida sehemu.

Watu walihitaji kuwa activated tu!
 
Hii ndio nafasi pekee ya kuikomboa hii nchi, tusikubali kuiachia miji ambayo tumeshikiria , let us all agree to die a little. Lazima tuwe na wayforward ndio maandamano yakome. Tutaendelea kudhaulika hadi lini?
 
Kizazi cha sasa si kile cha enzi zile eti mpigwe mkwara na mkaufyate.

Wameenda mbele, wanaonesha sura zao na ni fearless ingawa wanajua kuna wenzao wameshatekwa.

Whomever anachukulia hii poa, ana shida sehemu.

Watu walihitaji kuwa activated tu!
💯%.
 
Hatuna jeshi wala polisi la kuzuia hata watu laki moja!

Btw, huu ndo muda wa masala kuendesha zile Rolls Royce na Bugatti za Abduli na wacenge wenzake.

Mali za umma zile.
Ulisema hakuna atakaye andamana, nilikwambia watie moyo iko siku utafurahi.

Ingawa safari bado lakini unajisikiaje kwasasa mijambazi inaposhughulikiwa?

Haya maandamano yanapaswa yawe ya siku 10 mfululizo hakuna maongezi wala kumsikiliza mtu ambaye aliteka kwa kiburi, kutesa na kupoteza watu kwa mbwembwe.
 
Kwa kweli I’m pleasantly surprised. That I can’t lie.
 
Natamani nimwone Kikwete anavyotembea kwa madharau! Pumbavu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…