KERO Dar: Kilio cha Barabara ya Dege - Mbutu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii ni barabara ipo Dar Es Salaam

Barabara ya Dege - Mbutu, Kichangani Kata ya Somangila, Mkoa Wa Dar Es Salaam imekuwa kero kwa miaka mingi licha ya baadhi ya Viongozi wa Serikali kuja mara kwa mara pasipo utatuzi wa kilio chetu

Kinachoshangaza hili barabara ni muhimu maana huku Mbutu kuna machimbo ya kokoto, mawe na vifusi ambavyo kila saa malori yanaingia pasi na kukoma na ushuru unatozwa kwa kila lori.

Tunaomba Serikali Itatue hili hiki kilio cha muda mrefu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…