barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Pelekeni ushahidi wa kuvamiwa, ile clip haina any conclusive evidence ya uvamizi, ni kama clip ya joti na tanzazo la mtandao wa simu, hamna kitu!naona njia ya kumsafisha Bashite inaandaliwa
Umeusoma na kuuelewa uzi vizuri? Msome tena afande Sirro, kwa maelezo yake ni kwamba upelelezi bado unaendelea (the word una endelea it means taarifa huko police zipo) na amewataka Mawingu kutoa ushirikiano; may be the question is; Sirro/Police waliisha enda kutaka au kuwauliza maswali hapo mawingu studio? Au bado na yeye anafanya press conference?Hivi hao Clouds tangu wamevamiwa kwanini hawaendi kushtaki polisi na kutoa ushirikiano kwenye UPELELEZI ??
Kumbe ndo plan iko hivi!!Hawa kiboko yao kibiti
ndugu yangu tujikalie kimya haya majibu yote hatuwezi kuyapata..unakumbuka Boss wake alivyotunanga kwenye uzinguzi pale ubungo tunaoulizia vyeti vya huyu bwana?Yaliishaje, alitoa vyeti? alipelekwa mahakamani kwa kuivamia clouds.
wAHARIRI: Marufuku vyombo ya habari kumjadili Makonda.Hivi jamani haya mambo ya Bashite si yalishaisha? naona yanarudi kwa kasi...kulikoni tena?
Mawimgi ni wazee wa ngada.clouds hawataki kumshitaki makonda hivi hamuwajui?? ...clouds ni team magufuli, ccm pure....watasubiri sana
Hawa wakomae na Wrong Parking tu ndio Size yaoKamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.
Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.
"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.
Chanzo: mwananchi
Hili nalo lina ukweli!wAHARIRI: Marufuku vyombo ya habari kumjadili Makonda.
Naona inashindikana, wanakosa soko na wafuasi wao wanakosa cha kuwapatia airtime.
Kumbe ndo plan iko hivi!!
Hawezi hata afanyeje nchi hii iko na watu wawili tu baba jescar naSiro, Mungu anakuona, kweli anakuona! Una ubavu wa kuipeleke kesi inayomhusu Makonda Kortini? Mungu anakuona.
Mmoja ni Silaha mwingine?Hivi kwanini watu wote waliotoroka Seminary akili zao zinakua na walakini...