toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,632
Dar joto limeanza kutisha, Chukua tahadhari. Je, umechukua tahadhari gani?
Bandugu hali ya hewa ni joto kali mji umechemka huu
Joto linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa sana huenda January na February tukashuhudia maafa na hali ikawa mbaya likafika hata degree 50
Umejiandaa kisaikolojia? Umechukua hatua gani hadi sasa?