Dar joto limeanza kutisha, umechukua tahadhari gani?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Dar joto limeanza kutisha, Chukua tahadhari. Je, umechukua tahadhari gani?

Bandugu hali ya hewa ni joto kali mji umechemka huu

Joto linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa sana huenda January na February tukashuhudia maafa na hali ikawa mbaya likafika hata degree 50

Umejiandaa kisaikolojia? Umechukua hatua gani hadi sasa?
 
Watu wa Dar wanapenda kulalamika sana yani hawana uvumilivu pengine kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na tatizo husika.

Unaishije Dar 10years bila kupanda hata mti mmoja?

Kama wewe wa Dar unalalamika, Je wa Ifakara wasemeje?
Screenshot_20201210-140502.png
 
Watu wa dar wanapenda kulalamika Sana Yan hawana uvumilivu pengine kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na tatizo usika.

Unaishije dar 10years bila kupanda hata mti mmoja?

Kama wewe wa Dar unalalamika je wa Ifakara wasemeje?View attachment 1646126

Wakazi wa Dar ni kama yatima au walemavu (kumradhi), wanataka kuonewa huruma kwenye kila kitu wao ni spesho.

Mvua ikinyesha siku moja tu zinajaa nyuzi humu za kulialia, baridi kidogo tu wanalialia kama makinda.

Mikoa ya baridi sijawahi kusikia wakilalamika kuganda baridi ikizidi, aibu hii.
 
Back
Top Bottom