GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,622
Dar es Salaam
Tuesday
20th Feb 2018
Min 24°C
Max 32°C
Wednesday
21st Feb 2018
Min 25°C
Max 32°C
Thursday
22nd Feb 2018
Min 24°C
Max 33°C
Friday
23rd Feb 2018
Min 26°C
Max 33°C
Kichefuchefu wewe!mungu azidi kuwachemsha mpaka muive, machukizo kwa mungu mengi yanaanzia dar! Mungu hapendi binadamu wamaowaua wenzio wasio na hatia, Mungu anawaonya mtubu, mnakataa, siku akiamua kunyoosha mkono wake vilivyo mtahama hapo! poleni sana, hivi kwa nini hamtaki kutubu? mnataka kwenda peponi bila kudedi! kutwa tuwaombee, mbona nyie hamtuombei.?
Kwa nn watu wanaotoka mikoan kwenda dsm ni weng kuliko wale wanaohama dsm kwenda mikoan?Sisi wa huku mjini mkoani hata hatuna tatizo ,nyie pambaneni tu na hali zenu
Hamia Njombe mkuuKwa kweli kuna joto..nipo muda mrefu hapa Dar lakini this time kuna utofauti mkubwa sana.
true halafu ndio maana watu wake ni weusiiii joto unakuwa mweusiHamna tofauti na Juba South Sudan..
Utakua unakaa uzunguni. Sisi huku mtaani kwetu ukijaribu kulala hivyo utaamka asubuhi simu wamepita nayoKipindi km hiki ndio unapowaza uwe na kwako uweke na A/C.
Nalala uchi madirisha wazi cooler na feni vyote vinawaka