Hii chanjo ya Rubella mnayopewa utafiti kafanya nani na chanjo mnaletewa na nani?Ni kweli, lakini la zaidi ni kwamba tusiruhusu wazungu waje watupe kinga....kwani wakitoa tu kinga zao wakiondoka ndipo ugonjwa utakapoingia nchini.....tusipo waruhusu watafiti wakizungu, tutakuwa tumeepukana na huu ugonjwa
kama nimekuelewa basi mtazamo wako na sawa na ule wa chris brown...ambao ulimuweka ktk wakati mgumu sana japo ndio ukweli wenyewe huo.
Ni kweli, lakini la zaidi ni kwamba tusiruhusu wazungu waje watupe kinga....kwani wakitoa tu kinga zao wakiondoka ndipo ugonjwa utakapoingia nchini.....tusipo waruhusu watafiti wakizungu, tutakuwa tumeepukana na huu ugonjwa
Uwe unatoutisha wakati wa kuendeleza chuki zako dhidi ya ndugu zako na wakati mambo yako serious. Huu ugonjwa ukija utakua hatari na utawakuta hata Mainterharamwe wenzio huko msituni. Ni ugonjwa ambao unatisha, na hamna nchi imejitayarisha vya kutosha hata Kenya.
Anyway, naona bora urudi kwa zile mada zenu za Rwandans vs Interharamwe, hamna haja yako kuja kukojoa humu.
Someni kati kati ya mistari muelewe lengo la THE CITIZEN ni nini. Lengo ni kuishusha Tanzania as much as possible.
"Kenya, which was earlier marked by the World Health Organisation as a country at risk of an outbreak because it is a major transport hub for all airlines from West Africa to the region, was not mapped in the latest Oxford study. Neither was Rwanda."
Yaani kumbe hata EBOLA inachagua nchi ambazo hazimo kwenye COW? what a coincidence! hahahahaha.
Mada zilizopita kuhusu wachapishaji wa CITIZEN na wahariri wake:
1. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/659652-mwananchi-communications-inatumika-na-rwanda.html
2. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uu-wa-richard-mgamba-mnaukubali-wenzangu.html
3. https://www.jamiiforums.com/international-forum/671682-nation-media-group-rwandan-connection.html
cc: JustDoItNow Bulldog
Yote haya mambo ya single tourist viza tu,huyo mwandishi kwanini anaingiza Kenya na Rwanda kwenye habari ituhusiyo sisi.Kweli tupo kwenye hiyo hatari ya ebola hiko kitu hakipingiki ila mwandishi alikuwa na yake mengine.
Unajua mkuu haya majamaa ni majinga sana
Ebola ilikuwepo hapo Congo DRC ambako ni karibu sana na hapa kwetu na haikuja huku
Ikapatikana tena hapo Uganda na haikuja huku
Leo ipatikane huko mbali ki asi hicho halafu eti t uwe kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu hapa kwetu,hii inaingia akilini kweli?
Hahaha!! ina maana jamaa umemtoroka humjibu eti. Sikujua kuna kiboko chako, mchambawima1 njoo huku umburute huyu jamaa umpeleke kwa zile post zake za interharamwe. Eti anakuhesabia masaa kabla akutoroke. Jamaa ameanza kukojoa ovyo kwenye huu uzi, naomba mshike pua arudi huko.
Hahaha!! huwa unanifurahisha sana jamaa ukibanwa, utakutwa tu! hayuko mbali huyo.
Tz na Liberia si mbali sana kama ilivo Marekani na huku kwetu,....I wonder imefikaje Marekani :coffee:
Umesikia imesambaa kama huko Liberia?
Halafu hujui hata ilivyofika huko?