Dar iko shwari! Storm is over now!

We ndo yule wa moro kiboko ya majambazi?
hata mie nilikuwa najiuliza ndo huyo?
jamaa ana sifa kweli hata namba zake za sim **** 76 76 76 76
kaziandika kwenye gari yake, aliondoa ile nembo ya Ipsum na kuweka hizo figaz,

ila jamaa namkubali kwa kiasi chake
 
alieandamana alafu akanusurika kukamatwa ukizingatia kichapo walichopewa wenzake kakiona, hawezi kuandamana tena siku za karibun hata umlipe pesa
 
alieandamana alafu akanusurika kukamatwa ukizingatia kichapo walichopewa wenzake kakiona, hawezi kuandamana tena siku za karibun hata umlipe pesa

hali ile haileti amani ya kudumu kwa kutumia mabomu au silaha, waangalie source jiulize chuki iliyo ktk moyo wa mtu itamalizwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…