KK,
Ahsante kwa taarifa hizi mkuu.. sikujua kwamba hili jiji limefika pabaya kiasi hiki! Duh?
Wanacheza uchi afu kwa malipo ya 100,000/=madafu!!!
Sijui ni umasikini au ndo kuchoka na maisha!!
Tukemee vikali matendo kama haya kama ambavyo tunaukemea UFISADI, Ushirikina n.k!
Mkuu attachment imegoma kufunguka but napata picha ya kile unachozungumza...In short jamii imekuwa spoilled kiasi kwamba unashindwa kuelewa kama baadhi ya mambo yanayofanyika binadamu husika ana akili timamu au la!!! Inasikitisha na sitaki kuamini kuwa hata huko mamtoni ndivyo wafanyavyo kuna kaujinga fulani kwa watu wetu.
Kuna haja kuwa na sheria zitakazo wabana watu watakaobainika kufanya mambo ya kishenzi hata kama ni mtu mzima beyond 18 years.Kwa mfano kuna utitiri wa vi-night club uchwara siku hizi na bar zinazohudumia mpaka usiku mbaya ukipita hizo sehemu hutaamini utakachoona ni uchafu mtupu au ndio utandawazi???
Nchi inafilisiwa na mafisadi watu wengine wako busy na mambo ya kishenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.