Wewe si umeolewa shinyanga? Na huko wami ulikuwa unatokea au unaenda wapi?
Wapendwa habari nilizonazo darexpress inaungua
Kwamwenye info zaidi tuabarishe
Karibu nawami
Picha za ajali
Ahsante kwa taarifa, hivi kuweka linki kama ulivyofanya wewe hivi unafanyaje mkuu
ilikuwa ya route ya wapi