Dar express inaungua Wami?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,881
Wapendwa habari nilizonazo darexpress inaungua
Kwamwenye info zaidi tuabarishe

Karibu nawami
 
Du ina maana Dar Express kila siku inaungulia Wami?
 
Ni Kweli wadau kuna mtu kapita hapo kaiona ikiteketea.
 
Mpwa we si mzee wa doria utujuze vizuri au doria lako linaishia Ocean Road..

CC: Raimundo
 
Last edited by a moderator:
Nimeona picha insta ila inaonekana kama habari ya kitambo
 
Wewe si umeolewa shinyanga? Na huko wami ulikuwa unatokea au unaenda wapi?
Bwanawako akishugulikiivizuri m hakokamchezo sofanyii.wanaumewenzangu.cheki. na sakanypla
 
itakuwa mwenye magar alilogea wami sasa na wenzake wameenda kumlogea hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…