Zoezi la uandikishaji linaweza kufanyika hata kwa siku moja ikiwa kutakuwa na vifaa vya kutosha na watu watadhamiria kujiandikisha. Kumbuka Dar es Salaam ndio mkoa wa mwisho. Kwa maana hiyo kutakuwa namvifaa vya kutosha. Nawasihi wananchi wajitokeze mapema kujiandikisha. Wasilalamike tu ilhali Tume imejipanga vya kutosha
Nini siku 12 hata mpange siku moja mimi kujiandikisha lazima.
tatizo mikoa mingi wamelalamikia machine zina haribika mara utasikia zoezi la uandikishaji limesimama kwasababu wamesahau wino makao makuu.Sasa kwa DSM inabidi wajipange,yakitokea kama ya huko mikoani inaweza kuchukua hata mwezi mzima

Watu wa Dar ni mashabiki wa mabonanza na promosheni za bia nunuwa 3 pata moja bure na sasa Pirsner lager wameshushiwa bei ni buku jero tu wanywe mpaka nguvu za kiume ziwaishe kabisa. Hopeless kabisa watu wa Dar hasa Ilala na Kinondoni.
Wewe ID yako na kauli yako haviendaniHata mkibisha ccm ni Chama dume na tutashinda hata kwa goli la mkono