Katika utafiti wangu mfupi nimegundua wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wanachangia kwa kiasi kikubwa nchi hii kutoendelea. Imetokea mara nyingi katika nchi nyingine linapotokea jambo likafanywa na serikali kinyume na matakwa ya wananchi basi raia wa miji mikubwa kama Dar katika nchi husika wanatoka majiani kupingana na jambo hilo.
Lakini katika nchi hii wanaharakati wachache na wanafunzi wa vyuo vikuu wanaopatika jiji Dar ndiyo siku zote wamekuwa wanajitokeza kwa aina moja au nyingine kupingana na jambo lolote litakaloletwa kinyume na maslahi ya nchi yetu. Ni ajabu wananchi walio wengi wa Dar wapo ziiiiiiiiiiiiiiiiii wanaiacha inchi inaliwa.
Raia wa mikoa kama arusha, mwanza, mbeya wanawashinda kwa mbali raia wa Dar es salaam kwa kuhoji na kudai haki zao! Please DAR ES SALAAM PEOPLES WAKE UP!
Well said mkuu!.....binafsi nimeshawahi kuandika post hapa jamvini yenye mtazamo kama huu wako! siyo siri waBongo tumelala sana.Katika utafiti wangu mfupi nimegundua wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wanachangia kwa kiasi kikubwa nchi hii kutoendelea. Imetokea mara nyingi katika nchi nyingine linapotokea jambo likafanywa na serikali kinyume na matakwa ya wananchi basi raia wa miji mikubwa kama Dar katika nchi husika wanatoka majiani kupingana na jambo hilo.
Lakini katika nchi hii wanaharakati wachache na wanafunzi wa vyuo vikuu wanaopatika jiji Dar ndiyo siku zote wamekuwa wanajitokeza kwa aina moja au nyingine kupingana na jambo lolote litakaloletwa kinyume na maslahi ya nchi yetu. Ni ajabu wananchi walio wengi wa Dar wapo ziiiiiiiiiiiiiiiiii wanaiacha inchi inaliwa.
Raia wa mikoa kama arusha, mwanza, mbeya wanawashinda kwa mbali raia wa Dar es salaam kwa kuhoji na kudai haki zao! Please DAR ES SALAAM PEOPLES WAKE UP!
kweli watu wa DSM akili zao zimeganda kama maziwa mgando