Dar es salaam: Uzuri uliojificha

MAKUTANO YA SLIPWAY:V
Kata : Msasani
Wilaya : Kinondoni
Taarifa : Ni makutano makubwa ya Masoko ya Bidhaa na utamaduni na Hotel yaliyopo katika eneo la Peninsula ya Msasani.Ndani take kuna Hoteli,maduka,Fukwe na sehemu za michezo ya watoto na pia kuna sehemu za kuogelea,mziki,kula na boti.
Utafaidi :
  • Soko la Sanaa za TingaTinga
  • Soko la Mavazi ya Batik
  • Soko la Urembo wa Asili
  • Sehemu ya michezo ya watoto
  • Upepo mzuri wa bahari
  • Boti za kwenda maji marefu
  • Kuogelea baharini na swimming pool
  • Miagahawa ya vyakula vya baharini
  • Huduma za Hoteli na makazi.

Mgahawa pembeni ya Fukwe

Muonekano wa juu wa slipway

Sehemu ya kufurahia upepo wa bahari

SLIPWAY MDA wa Usiku

Sehemu ya juu,unaona swimming na maduka

Soko la Batik na nguo asili

Soko la TingaTinga

Sehemu ya michezo


Maduka

Unafikaje :
  • Panda gari la Simu 2000/Gerezani/Gongo la Mboto kwenda Masaki,nenda hadi kituo cha Bakhresa,uPanda Boda mpaka hapo
Gharama
  • Nauli ni 2000,kwenda na 2000 kurudi nusu
  • Kiingilio,,hakuna kiingilio
Usalama : 95%
Waambie wenzio....
 

Attachments

  • images (23).jpeg
    8.4 KB · Views: 5
  • images (17).jpeg
    60.2 KB · Views: 5
  • images (14).jpeg
    51.1 KB · Views: 5
  • images (24).jpeg
    16 KB · Views: 5
  • images (25).jpeg
    52.3 KB · Views: 6
  • images (15).jpeg
    58.5 KB · Views: 5
  • images (22).jpeg
    16.7 KB · Views: 4
  • images (12).jpeg
    60.7 KB · Views: 6
  • images (13).jpeg
    45 KB · Views: 4
  • images (18).jpeg
    63.5 KB · Views: 4
  • images (19).jpeg
    75.2 KB · Views: 3
  • images (26).jpeg
    60.6 KB · Views: 4
  • images (16).jpeg
    51.2 KB · Views: 4
  • the-slipway-235573.jpg
    267.1 KB · Views: 3
  • images (20).jpeg
    48.3 KB · Views: 3
  • images (21).jpeg
    44.4 KB · Views: 3
Mboja jibu lako haliendani? Umesoma vizur
Wewe umeamua kuiangalia Dar es Salaam kwa ubaya, labda kwasababu mazingira uliyowahi kukaa ukiwa Dar yalikuwa mabovu,,,
Ila kwa wale walio/Wanao kaa mazingira mazuri na kwenda sehemu nzuri za Dar,hapa ni pazuri...
 
Wewe umeamua kuiangalia Dar es Salaam kwa ubaya, labda kwasababu mazingira uliyowahi kukaa ukiwa Dar yalikuwa mabovu,,,
Ila kwa wale walio/Wanao kaa mazingira mazuri na kwenda sehemu nzuri za Dar,hapa ni pazuri...
Kumbe hukunielewaa,Dar inatakiwa iwe kuwa jiji boraa africa ya mashariki na huu mpango upo sema unagharimu fedha mojawapo ni kuhamisha watu wa vibanda umiza biwanja viuuzwe wa vigogo, Dar imejaa sana ukitaka constraction ya maana near centers lazima uvunje pahali ivo, kulinganisha dom na dar ni fedheha Dar ipo mbali
 
Hapo nimekupata
 
KIJIJI CHA MAKUMBUSHO VI
Kata : Mikocheni
Wilaya : Kinondoni
Taarifa : Eneo liliotengwa maalum kwa ajili kuenzi ,kutafiti na kutunza tamaduni za makabila yanayopatikana ndani ya Tanzania.Kijiji kilianzishwa mwaka 1967.
Utafaidi :
  • Historia fupi ya makabila mbalimbali ya Tanzania
  • Mitindo ya Ujenzi ya makabila ya Tanzania
  • Tamaduni tofauti za makabila ya Tanzania
  • Mgahawa wenye kuhudumu vyakula vya makabila tofauti ya Tanzania
  • Burudani ya Ngoma
  • Duka la mavazi ya asili



Kikundi cha ngoma ya asili


Mgahawa wa kupata chakula cha asili


Unafikaje : Panda gari zinazokwenda kituo cha basi cha makumbusho. Umbali wa hatua 50 tu
.
Gharama
  • Nauli : 1,500 kutoka unapokaa kufika Makumbusho.
  • Kiingilio : 3,000 kwa mtu mzima na 1,000 kwa mtoto/Mwanafunzi
 
MAKUTANO YA OLD BOMA VII
Kata : Kivukoni
Wilaya : Ilala
Taarifa : Makutano ya Majengo Kongwe zaidi yaliyotumia mfumo wa ujenzi wa kisasa. Hapa utakutana na
Jengo la Old Boma,lilijengwa 1886
Kanisa la mtakatifu Joseph ,1897
Makao ya white fathers
Utafaidi :
  • Historia ya Jiji la Dar
  • Historia ya utawala wa Halmashauri ya miji.
  • Upepo wa bahari
  • Historia ya kanisa la Roma,Dar
  • Uenezajwi wa Ukristo
  • Mandhari nzuri ya kupiga pich

Jengo la white fathers

Kanisa la mtakatifu Petro la Yosefu

Old Boma

Old Boma kablya Uhuru
Unafikaje: Kutokea Makumbusho,panda gari zinazoenda STESHENI

Gharama :
  • Nauli ni 1,500 kwenda ma kurudi
  • Kiingilio : 2,000,ni kwa ajili ya kuingilia oldBoma
Usalama : 85%
 

Attachments

  • images (38).jpeg
    32.5 KB · Views: 2


Swali: Hizo picha zinahusiana na ubora wa Dar es salaam kama mji wa kuishi?

Kuna watu :

1. Mbezi Beach
2. Mikocheni.
3. Sehemu kibao....

Ambao huacha nyumba zao wakati wa mvua.
 
Swali: Hizo picha zinahusiana na ubora wa Dar es salaam kama mji wa kuishi?

Kuna watu :

1. Mbezi Beach
2. Mikocheni.
3. Sehemu kibao....

Ambao huacha nyumba zao wakati wa mvua.
Dar kuna makazi ya Kila aina
  • Makazi ya madon/Big fishes/ukwasi kupitiliza e.g Masaki,O'Bay,Ada,Msasani Peninsula
  • Makazi ya matajiri ya matajiri ya kawaida e.g Ununio,Mbweni,Kilongawima,Regent,Uporoto,Kimbiji
  • Makazi ya watu wa kipato cha kati e.g Sinza,Kurasini,Chang'ombe,Goba,Mbezi,Kimara,Kunduchi,Boko,Kigezi
  • Makazi ya Maskini e.g Viwege,Majohe,Chanika
Hela yako tu ndiyo inayoamua ukakae makazi ya aina gani....na hiyo ipo kwenye kila jiji hapa Tanzania na duniani.
 
Swali: Hizo picha zinahusiana na ubora wa Dar es salaam kama mji wa kuishi?

Kuna watu :

1. Mbezi Beach
2. Mikocheni.
3. Sehemu kibao....

Ambao huacha nyumba zao wakati wa mvua.
Mikocheni ina mitaa mitano
  • TPDC : imejaa Viwanda,inamega 40% ya mikocheni
  • Mikocheni B : Ushuani na kuna nyumba za mawaziri,30%
  • Ali Hassan Mwinyi:Kota za Usalama wa Taifa,LAPF TOWERS,MAKUMBUSHO YA TAIFA ,10 %
  • Regent: Kairuki Hospital,Nyumba za NHC,10%
  • Mikocheni A : Shopperz,TMJ,Makaburi,makazi ya kawaida,10%
Taja huo mtaa wa Mikocheni ambao watu wanaacha nyumba kisa mafuriko...
Nimekulia Mikocheni naijua A-Z
 


Huijui Dar es salaam
 
Huijui Dar es salaam
Mkuuu,
Mimi mzawa wa Dar,,,nimekaa Mikocheni for 10 years,,
Regent na Ali Hassan Mwinyi kuna mifumo ya mitalo ya chini ya barabara.
Mikocheni A,B na TPDC kuna mitaro mikubwa si chini ya mi4,,(pale TMJ,Feza,Warioba na Daraja la JKT)

Sasa si useme Mikocheni ipi,wewe unaye ijua Dar....
wenye jiji letu tupo hapa....
 
Huijui Dar es salaam
Dar kuna kata zaidi ya 73
Taja maeneo au Kata 7 ambazo wewe una uhakika zina mafuriko mpaka watu wanakimbia makazi....namimi ntakutajia kata zaidi ya 20 ambazo hakuna hiyo hali yako,,
Nipo hapa nakusubiri....
 
Dar kuna kata zaidi ya 73
Taja maeneo au Kata 7 ambazo wewe una uhakika zina mafuriko mpaka watu wanakimbia makazi....namimi ntakutajia kata zaidi ya 20 ambazo hakuna hiyo hali yako,,
Nipo hapa nakusubiri....


Sina mda wa kupoteza, huijui Dar es salaam tuishie hapo. Kumbe unajua kata 20 salama, and the diffefence is 43 of what you know, useless kabisa.
 
Sina mda wa kupoteza, huijui Dar es salaam tuishie hapo. Kumbe unajua kata 20 salama, and the diffefence is 43 of what you know, useless kabisa.
Yani,ni unaishia kubeza tu,,,unashindwa jibu hoja....
Thibitisha kauli yako kwanza juu ya Mikocheni acha michambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…