Dar es salaam usiku

Mutabora

Member
Apr 29, 2010
45
4
Waungwana naweza kupata wapi kitabu cha'Dar es salaam usiku'kilichotungwa na marehemu Ben Mtobwa.Asante wakuu
 
Ninacho kwenye gallery yangu, ila kimechakaa na kurasa zengine zimetokatoka. Would ya lyk it?
 
Mbona kwenye maktaba za shule za msingi hcho ktabu knapatkana? Mimi nilikpata kwenye primary schul library hku kwtu bush. Si hcho2, pia TUTARUDI NA ROHO ZETU, PESA ZAKO ZINANUKA, LAZIMA UFE JORAM, NAJISIKIA KUUA TENA, MIKONONI MWA NUNDA, MTABO WA MAUTI, ROHO ZA PAKA, Hata kile cha MHARIRI MSALABANI Kilcho kuwa kkielezea mkasa wa kweli uliomsibu miaka ya nyuma, navingine vingi vya huyu bwana. Binafsi Nilikuwa namkubali sana bwna Ben na heko ingeneral. Mungu ailaze pema pepon i roho ya Ben R Mtobwa
 
Mbona kwenye maktaba za shule za msingi hcho ktabu knapatkana? Mimi nilikpata kwenye primary schul library hku kwtu bush. Si hcho2, pia TUTARUDI NA ROHO ZETU, PESA ZAKO ZINANUKA, LAZIMA UFE JORAM, NAJISIKIA KUUA TENA, MIKONONI MWA NUNDA, MTABO WA MAUTI, ROHO ZA PAKA, Hata kile cha MHARIRI MSALABANI Kilcho kuwa kkielezea mkasa wa kweli "mkuu unatusaidiaje kupata hivyo vitabu"
 
Mbona kwenye maktaba za shule za msingi hcho ktabu knapatkana? Mimi nilikpata kwenye primary schul library hku kwtu bush. Si hcho2, pia TUTARUDI NA ROHO ZETU, PESA ZAKO ZINANUKA, LAZIMA UFE JORAM, NAJISIKIA KUUA TENA, MIKONONI MWA NUNDA, MTABO WA MAUTI, ROHO ZA PAKA, Hata kile cha MHARIRI MSALABANI Kilcho kuwa kkielezea mkasa wa kweli uliomsibu miaka ya nyuma, navingine vingi vya huyu bwana. Binafsi Nilikuwa namkubali sana bwna Ben na heko ingeneral. Mungu ailaze pema pepon i roho ya Ben R Mtobwa
vipi na kile kinachoitwa "sitaki kuzaa" nichake?
 
Mimi natafuta kile kitabu cha LUSI NA DAMASI tulikisoma enzi zile tukiwa darasa la pili miaka ya 1979 kama kuna mtu anacho naomba anitonye!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom