Dar es salaam tujiandae kwa Land Slide

Dar es salaam tujiandae kwa Land Slide

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Wadau hii mvua ya siku3 non stop imenitisha sana mpaka nawaza isije tokea ardhi ikazidiwa na kiwango cha maji kupita kiasi kama kuna wataalam wa mambo ya geography watueleze kiundani juu ya kwa hili
 
Landslide? Kwenye viunga vya Dar no please! Landslides inatokea maeneo ya miinuko
 
Anaishi kwenye misitu ya KAZIMZUMBWI ndio maana anahofia landslide; mliambiwa muhame huko hamkusikia sasa mtaupata muziki wa hii mvua ya equinox!!!
 
Wadau hii mvua ya siku3 non stop imenitisha sana mpaka nawaza isije tokea ardhi ikazidiwa na kiwango cha maji kupita kiasi kama kuna wataalam wa mambo ya geography watueleze kiundani juu ya kwa hili

Landslide na Dar wapi na wapi? Hata maeneo kama ya Makongo juu si maeneo ya kuweza kutokea landslide, labda milima kama ile ya Kisarawe...
 
Mh kazi ipo!! landslide DSM!!? kuna milima gani inayoweza slide!!
 
Kama mfano mwanza,kuna siku zile nyumba zilizoko juu zitaslide tu.

labda useme zibomoke kwa kuporomoka/kuporomokewa na mawe.nyingi zimejengwa juu ya mawe.land slide haitokei kwenye milima ya mawe.rock fall sawa.
 
Wadau hii mvua ya siku3 non stop imenitisha sana mpaka nawaza isije tokea ardhi ikazidiwa na kiwango cha maji kupita kiasi kama kuna wataalam wa mambo ya geography watueleze kiundani juu ya kwa hili

Labda gully au gullies lakini sio io kitu unayosema
 
Land slide always takes place in mountainous areas with steep slopes or cliffs. Kwa mazingira mengi ya Dar ni ngumu kwa land slide kutokea kutokana na nature ya ardhi yake. Labda maeneo ya kisarawe ambapo kuna milima.
 
Back
Top Bottom