Dar es Salaam si jiji lenye gharama za juu kuishi Afrika

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,635
Dar es Salaam ni mji wa Kibiashara Tanzania na ndyo jiji kubwa kuliko yote kwa East Africa (EAC/2020) ikifuatiwa na Mombasa.

Kama ulikua hujui miji yenye gharama za juu kabisa za maisha hii hapa.

1. Dakar-Senegal

2. Adis Ababa -Ethiopia

3. Abidjan -Ivory Cost

4. Harare -Zimbabwe

5.Johannesburg-South Africa

6. Pretoria-South Africa

7. Gaborone -Botswana

8. Cape town-South Africa

9. Durban -South Africa

10. Marrakesh -Morocco

11. Accra-Ghana

12. Lagos -Nigeria

13. Tangier-Morocco

14. Casablanca- Morocco

15. Kampala- Uganda

IMG_2007.jpg

IMG_2008.jpg

Kwa Africa Mashariki Kampala ndio mji wenye gharama za juu kabisa za maisha.

#Nini mawazo yako kwa uzoefu wako juu ya hizi nchi na miji yake?Unakubaliana au Unakataa !! Tuambie kwene comment.

source: 15 most expensive cities to live in Africa, according to latest stats for Q1 2022
 
Tuendako dar itakuwa chungu, japo imejawa mzunguko mkubwa wa pesa, lkn tundako ugumu wa dar utakuwa mkubwa pale mfumuko wa bei za bidhaa na huduma za kijamii kupanda.

Wanyonge wote watalikimbia jiji kama sio kuhamia uswahilin na kwenye mitaa nje ya jiji.

Utaona mikoan kutakavyopata ruti za kutosha, huku nako JF tutashuhudia nyuzi za watu wanaolikimbia jiji kwa sababu kibao na lawama zote wakiitupia serikali.

Jiji la dar kusema kweli bado sana ni changa kiuchumi, hivyo hata purukushani za maisha bado si ngumu kulinganisha na majiji mengine.

Jmn tujifunze kutembelea majiji nje ya Tz tujifunze jambo,
 
Nairobi je? Kama Mombasa inafatia Baada ya Dar

Kuna faida gani ya gharama ya maisha kwenye Jiji, Kama sio kuwaumiza wananchi
Dar es Salaam ni mji wa Kibiashara Tanzania na ndyo jiji kubwa kuliko yote kwa East Africa (EAC/2020) ikifuatiwa na Mombasa
 
Dar es Salaam ni mji wa Kibiashara Tanzania na ndyo jiji kubwa kuliko yote kwa East Africa (EAC/2020) ikifuatiwa na Mombasa

Kama ulikua hujui miji yenye gharama za juu kabisa za maisha hii hapa

1.Dakar-Senegal

2.Adis Ababa -Ethiopia

3.Abidjan -Ivory Cost

4.Harare -Zimbabwe

5.Johannesburg-South Africa

6.Pretoria-South Africa

7.Gaborone -Botswana

8.Cape town-South Africa

9.Durban -South Africa

10. Marrakesh -Morocco

11.Accra-Ghana

12.Lagos -Nigeria

13.Tangier-Morocco

14.Casablanca- Morocco

15.Kampala- Uganda

View attachment 2254796
View attachment 2254797

Kwa Africa Mashariki Kampala ndio mji wenye gharama za juu kabisa za maisha!!….

#Nini mawazo yako kwa uzoefu wako juu ya hizi nchi na miji yake?Unakubaliana au Unakataa !! Tuambie kwene comment…..

source: 15 most expensive cities to live in Africa, according to latest stats for Q1 2022

Nimeishi Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es salaam!

Arusha May be, by far the most expensive city compared to the rest!
 
Huwa mnajitoa ufahamu bure na ushabiki masndazi.
Mombasa kubwa kuliko Nairobi?
Dar jiji kubwa Afrika mashariki?
Endelea kula miguu ya kuku kwa Mtogole.
 
Dar es salaam sujui kama inafika asilimia 40 % ya mji wote wa DAR kama UMEPANGWA..... unservey plan kwa maana maeneo yaliyo makubwa ni squatters watu wajenga hovyo hovyo na ndio imesaidia watu wengi kuwa na mahali pakuishi na kodi za nyumba rahisi kidogo .
Mfano mdogo tu eneo la kigamboni laabda asilimia 5% la eneo zima la kigamboni ndio limepima eneo lililobaki lote ni squatters.
 
Huu ndio ukweli.
Watu ambao hawajavuka mipaka huwa wanajua kuwa Dar ni bonge la Jiji.
Zaidi Dar twaweza kupambanishwa na Mombasa ambalo ni jiji la 2 kwa Kenya
 
Huwa mnajitoa ufahamu bure na ushabiki masndazi.
Mombasa kubwa kuliko Nairobi?
Dar jiji kubwa Afrika mashariki?
Endelea kula miguu ya kuku kwa Mtogole.
Yes na hlo halina ubish
Naenda Mombasa alaf urud Nairobi

Nairobi inabebwa na ukubwa wa jina to
 
Nairobi je? Kama Mombasa inafatia Baada ya Dar

Kuna faida gani ya gharama ya maisha kwenye Jiji, Kama sio kuwaumiza wananchi

La pili kwa ukubwa na idadi ya watu….
ukiitoa DRC (kinshasa) Dar es salaam ndyo lilikua jiji no 1 kwa ukubwa (population) ikifuatiwa na mombasa ya kenya
 
Back
Top Bottom