Dar es Salaam mpya ya "Kunenge"

Sasa unatuuliza sisi utazani sisi ndio kunenge vile
 
Kwani Rais alisemaje?! Ukiomba ruhusa kugombea ubunge huku una cheo kingine anakupa hio ruhusa haraka sana (anakutoa hio nafasi). Na ndio hiko kimefanyika kwa Makonda. Sasa shida iko wapi?

Hakuachia ngazi, bali katumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…