Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,164
- 18,675
Wasalaam
Kufuatia kuteuliwa kwa ndugu Aboubakar Kunenge kushika nafasi ya ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam iliyokuwa chini ya ndugu Paul Makonda (mbunge mtarajiwa)
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamegubikwa kwa vifijo na nderemo baada ya teuzi hiyo, huku wananchi wengi wakionekana kuwa na furaha na hatua hiyo.
Ndugu Kunenge kabla ya hapo alikuwa katibu tawala wa mkoa huo ambapo sasa anaenda kushika usukani wa kuendesha Jiji hilo, tutegemee nini kutoka kwake? Ni mabadiliko gani tutaenda kuyaona?
Let's meet at the top, cheers