Dar es salaam mpya isiyo na uhalifu!

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
979
Njoo tujuzane hapa uhalifu ambao unakera sana kwa jiji la Dar, tukianzia na madawa ya kulevya hasa vijiwe mbalimbali vya unga ambavyo vimechangia vilio vingi ktk familia km sio vifo, kudhoofika kimwili- kiakili na hata umaskini kwa familia husika. Nakumbuka mama mmoja wa mchezaji wa timu fulani makaz yake.....pale ( jina kapuni) huyu mchezaji aliathirika hadi mama wa watu aliiona Dar es salaam kama jehanamu iliyochangia kuharibu maisha ya mwanawe km sio familia kwa ujumla maana jamaa alikuwa bonge la mido ila daah. Haya madawa usikie kwa mwenzio tu yasiingie katika familia yake...utadata. Tuungane na kusahihishana badala ya kupingana!
Dar es salaam mpya!
 
Back
Top Bottom