Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Kuna jamaa kafungua kampuni ya kupandikiza mbegu wanawake kama unataka mtoto unaenda wanakupandikiza.Bundle jamani aliyeangalia ataniambia
Hahahaha Hahahaha Watanyooka tuuKuna jamaa kafungua kampuni ya kupandikiza mbegu wanawake kama unataka mtoto unaenda wanakupandikiza.
NB; Ukitaka mbegu ya Sholo mwamba hayaa ukitaka ya Chid Benz hayaa, ukitaka ya My American Experience hayaaa.
Kuna jamaa kafungua kampuni ya kupandikiza mbegu wanawake kama unataka mtoto unaenda wanakupandikiza.
NB; Ukitaka mbegu ya Sholo mwamba hayaa ukitaka ya Chid Benz hayaa, ukitaka ya My American Experience hayaaa.
aisee anataka kwenda kununua mtoto au?Okey mpelekeni yule Diva anayefanya harambee ya $7000
Kampuni ya kufyatua watoto yafunguliwa rasmi
Kilio cha wanaume wa dasilamu kitamalizwa na huyu bishooView attachment 843279
Sent using Jamii Forums mobile app
ALAFUHUYUJAMAA HAJIELEWI SI ALIKUWA ANAFANYA MODELING, MARA ANAADIKA MOVIES SCRIPT , MARA ANAKAMPUNI YA KUKODISHA MAGARI NA SASA HII YA MITI. HUYU HAJIELEWI NAHISI KAKOSA DIRA SASA ANATAPATAPA........DRAWNING IN HIS ACTIONSKampuni ya kufyatua watoto yafunguliwa rasmi
Kilio cha wanaume wa dasilamu kitamalizwa na huyu bishooView attachment 843279
Sent using Jamii Forums mobile app