wakuu nilikuwa naangali tv nikaona mji unaitwa dar es salaam huko yemen,yaani nilichukia kweli yaani kumbe wale waarabu waliokuja hapa karne ya 18 na kuwachukua babu zetu kwenda kuwauza walikuja na hilo jina la kimajini majini
nawaomba chadema wafanye kama sata kubadilisha jina la uwanja wa ndege siku yake ya kwanza madarakani,mkichukua tu nchi jambo la kwanza badilisheni hilo jina inawezekana lina laana ndio maana maisha yetu watanzania hayaeleweki
ni ombi wakuu naomba sana
hata Egypt kuna mji unaitwa Dar es salaam!!Acheni kuwa na mawazo ya kizamani. Dar es Salaam maana yake ni Bandari salama. Wewe umeona mji wa Yemen tu. Mji mkuu wa nchi inayoitwa Brunei unaitwa Dar es Salaam.
Acheni kuwa na mawazo ya kizamani. Dar es Salaam maana yake ni Bandari salama. Wewe umeona mji wa Yemen tu. Mji mkuu wa nchi inayoitwa Brunei unaitwa Dar es Salaam.
Sahihisho kidogo hapo kwenye red: NI Darusaalam