Dar es Salaam ibadilishwe jina

Kumbe ndio maana jiji lina miundo mbinu finyu na huduma za jamii hazikidhi viwango.
 
Kuna watu wanabishana kuhusu
Neno Dar Es Salaam
Mmoja amesema kwenye lugha kiarabu hakuna es kuna el, naomba nimsaidie kidogo; kwenye kiarabu hakuna es wala el, hizo ni fonolojia za kizungu. Vowel za kiarabu ni َ ِ ُ ً ٍ ْ
Na ndio maana hadi leo hii mji wa Brunei unaitwa Darussalam na sio Daressalam
 
Hayo ni matamshi tu ya cc waswahili lakini mji unaitwa daaru salaam
 
kumradhi naomba kufahamu mfano wa maneno ya kiarabu kwenye sayansi
Al kimiya(chemistry)
Alcohol
Algebra
Algorithm
Alkaline
Almanac
Azimuth
Elixir
Aniline
Soda
Zenith n.k
Kuna technical terms,katika engineering, Uhandisi,(neno la kiarabu),military (jeshi,neno la kiarabu),katika biashara(neno la kiarabu),kuna maneno mengi ya kiarabu.Kama
Admiral
Adobe
Alcove
Amber
Na pia majina ya nyota na anga za juu,ni majina ya kiarabu.
Hata Arsenal ni neno kiarabu,yaani mahali pa kutengeneza vitu(house of manufacturing).
 
Huyu sawa nabunge aliyetaka sanamu ya askari posta iondolewe awekwe diamond
 
aisee shukrani sana boss umenijuza mapya
 
Asante ndugu yangu, nilijibu kwa kuvuta kumbukumbu za akina Samuel Doe na Blaise Compaore na Thomas Sankara.
 
Dah kiwiko huna point.
 
Dah kiwiko huna point.
 
mi nitaliita bongo sio dar es salaam inabidi tulibadilishe. Bongo ndio limekaa poa jepesi kulitamka na ni neno la waswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…