Dar es Salaam bado saaana

Dar es Salaam bado saaana

ESAM

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
1,169
Reaction score
561
Jamani hii ndiyo Dar es Salaam barabara ya Uhuru maeneo ya shule ya Uhuru na Biti Titi maeneo ya Akiba.

IMG_20140622_151107.jpg

IMG_20140622_151102.jpg

IMG_20140623_102838.jpg

IMG_20140623_102906.jpg

IMG_20140623_102909.jpg
 
Wahusika mliopo juu tufanyieni mambo jamani mbona nyie mnaenda kwa wenzenu ina mana hamna mnachojifundisha au hata kuona aibu?
hahahah mkuu unapoteza muda wako wenyewe wanaiba
mara ya mwisho mwisho maana hawajui kama watakuepo tena si unajua uchaguzi unakaribia
 
naona kuna basi hapo ambalo hupita nchi kavu na majini,hao wenye magari ambayo sio husika sijui wamenusurika kupita hapo,viongozi wa nchi hii watatuangamiza kwa kweli
 
naona kuna basi hapo ambalo hupita nchi kavu na majini,hao wenye magari ambayo sio husika sijui wamenusurika kupita hapo,viongozi wa nchi hii watatuangamiza kwa kweli
Kama yale ya Uholanzi?
 
Kama yale ya Uholanzi?

Ndio hayo hayo mkuu sijui wanaotupenda wameamua kutuletea mapema ili tusije zama,tuanze kuyatumia jamani,hahahaaaaaaa,tz yangu mieeeeeeeeeeeeeeee

  • A%20S%20109.gif

 
Ndio hayo hayo mkuu sijui wanaotupenda wameamua kutuletea mapema ili tusije zama,tuanze kuyatumia jamani,hahahaaaaaaa,tz yangu mieeeeeeeeeeeeeeee

  • A%20S%20109.gif
Naona mazoezi ili tupate kuzoea tusiwe washamba sana yatakapowasili
 
Back
Top Bottom