D DoubleOSeven JF-Expert Member Joined Jul 5, 2008 Posts 661 Reaction score 145 Apr 14, 2011 #1 Nimeambiwa Jijini Central ni ngurumo za generators tupu tangu asubuhi. Kwa yale tunayofahamu kuhusu Richmonduli, Dowans et al, jamaa walioenguliwa wanatunisha tena misuli au kulikoni?
Nimeambiwa Jijini Central ni ngurumo za generators tupu tangu asubuhi. Kwa yale tunayofahamu kuhusu Richmonduli, Dowans et al, jamaa walioenguliwa wanatunisha tena misuli au kulikoni?