Dar business opportunity meeting

Dar business opportunity meeting

Joined
Mar 14, 2014
Posts
90
Reaction score
6
UNAKARIBISHWA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA KIBIASHARA
CITY CENTER POSTA

SIKU:- 15 AUGUST 2014
MUDA:- SAA 04:30 JION
UKUMBI:-GOLDEN JUBILEE TOWER
MERU HALL, 4TH FLOOR

(mtaa wa ohio posta).

*Hii sio ya kukosa

*Wahi sasa tiketi ni chache confirm mapema ujio wako nikuchukulie ticket.
For more info
0766789288
 
Mleta habari amekimbia...hii taarifa haijakamilika...watu hawana interest ya kupiga cm we sema ticket no bei gani na mkutano unalenga watu wa naona gani
 
GNLD type ndio huwa wanafichaficha taarifa.
Kuna jamaa yangu tumesoma naye wiki iliyopita alinikera sana. Kanipigia cm kuwa analaunch new business akaniomba nihudhurie,kwakuwa nilikuwa nilikuwa nataraji kuzindua kampuni yangu basi nikamchukua shareholder mwenzangu ili tukajifunze kitu huko. Kufika tukakuta ni GNLD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom