Askofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo.
Askofu hili haupo sawa. Mapadre watakupinga waziwazi na kuingiza Kanisa kwenye mgogoro ambao hukuutegemea. Kwanza unawaambia waache "utoto" kweli? Unafikiri kwa nafasi yako ya uaskofu maana yake umezidi mapadre wote akili?
Nimesikiliza hiyo hotuba nikawa very disappointed
na Askofu wetu huyu.
Chanjo ni hiari, kama serikali inasema ni hiari wewe kiongozi wa dini unasema lazima? Kesho serikali ikiongoza kwa imla utapinga wewe? Very disappointed