Dar: Amuua mkewe kwa kitu chenye ncha kali, atokomea kusikojulikana

vanus

JF-Expert Member
May 27, 2017
1,152
2,853
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Logeasara Chitemo, mkazi wa Ukonga Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake maeneo ya tumboni na kifuani, kisha kutokomea kusikojulikana.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Muliro Jumanne Muliro amethibitisha na kusema jeshi hilo linamtafuta mtuhumiwa kisha afikishwe kwenye vyombo vya sheria.
 
Watu wanashindwa kukabiliana na hasira Siku hizi plus uvumilivu na kuwa na uchungu myoyoni mwao. Hatari sana...
Matukio yanazidi sana mkuu, baada ya swalha kupigwa risasi, kuna dada yetu mmoja huko kusini akajibu mashambulizi akachomoa korodani moja la baharia mwenzetu, tukawapa siku chache hivi, mwamba mmoja huko dar akaona isiwe kesi kamlima mke wake huko dar. Nikama movie ila inasikitisha sanaa
 
Watu wamevurugwa vichwa vyao plus na hali ya life la Sasa haoni shida kukuondoa.Liwalo na liwe
 
Yaani Hadi nasikia Maumivu utadhani Mimi ndio nimekatwa hiyo korodani!Ila seriously jamii inabidi ibadilike Sana kuhusu Mambo ya mahusiano...watu wakishindwana waachane tu
Ni kweli suluhisho ni kuachana, nadhani process ya kuachana ni ngumu sana kwa wengi si jambo rahisi, pia unajua mtu mpaka achukue hatua mbaya kama hizi, unakuta ana kinyongo kikubwa na mwenza wake, kwamba ile swala la tuvumiliane mwingine anavumilia huku anakusanya matukio tuu badala ya kuvumilia na kusamehe, mwisho wa siku uvumilivu ukimshinda akikumbuka na ya nyuma lazima apusue bomu.
 
Being patient has limitations !!! Seems these trends have just begun and are there to stay !!!
 
Mi nawaambia wanaharakati wa haki za akina mama,msitaje haki tu,hawa wanawake wengi sasa hivi hawajui wajibu wao kwenye ndoa.

Wakatazeni kuingia kwenye ndoa kwa tamaa ya mali kama wanavyodanganywa na wanawake Malaya.Maana ni wazi hawatatimiza wajibu wao kwenye ndoa na ndipo chanzo cha migogoro inapoanza.

Acheni kushangilia masuala ya kutoka na wake za watu kama jambo la kawaida.Mnawasababishia balaa akina mama hawa.

Tafadhali hili wimbi halitaisha hivi karibuni kwa sababu Side alisifiwa sana na wanaume wengi.Waliona dawa ya kumdhibiti mwanamke pisi kali akizingua,ni risasi.Sasa wengine hawana risasi.
Waambieni wanawake wanajiona wazuri,ni hatari mno kuingia kwenye ndoa,halafu ukategemea utumie uzuri wako kumtisha mwanaume.
 
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Logeasara Chitemo, mkazi wa Ukonga Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake maeneo ya tumboni na kifuani, kisha kutokomea kusikojulikana.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Muliro Jumanne Muliro amethibitisha na kusema jeshi hilo linamtafuta mtuhumiwa kisha afikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Inabidi tuwe na jukwaa maalumu la matukio ya hivi la
 
Back
Top Bottom