Pale Polisi ni Wengi lakini kuna madereva akili zao wameziacha bar,Pale waweke matuta tu ndio solution mbona makongo kuna matuta?Kwa fujo za madereva pangefaa kuwekwa matuta pale, kuna zebra lakini wanakimbia kama vile hakuna waenda kwa miguu
What a tragedy REST IN PIECE LITTLE GIRLHabari wanabodi,
Gari imemgonga mwanafunzi wa kike na kufariki papo hapo, gari imekimbia, kwa sasa polisi ndio wanafika eneo la tukio.
View attachment 552314
Amegongwa mida ya 06:32 Asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeni pole maana mwanafunzi wenzake walikuwa wanalia baada ya kuona kichwani damu na alikuwa hachezi na yupo Chini ya Eitcher.Mtoto hajafaliki ila hali yake ni mbaya tunaomba msaada kwa alieshika number za hyo gari iliomgonga